Wiki mbili zilizopita katika mechi za ligi kuu kulitokea matukio mawili ambayo yalileta mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini. Mchezaji wa Azam FC, Aggrey Morris alipiga kiwiko Emmanuel Okwi katika mechi iliyowakutanisha Simba vs Mtibwa, kitendo ambacho kilipelekea Okwi kuzimia uwanjani na kupelekwa hospitali, kitendo kingine kilikuwa kikimhusisha mchezaji wa Mbeya City Juma...
The post Adhabu walizopewa Morris na Nyosso kwa vitendo walivyowafanyia Okwi na Maguri appeared first on TZA_MillardAyo.