Mtu wangu wa nguvu kama una plan kwenda zako movie jioni ya leo na watu wako, basi unaweza kufanya chaguo la sehemu gani poa kwenda kujienjoy leo DAR ES SALAAM. Hapa kuna list yote ya movies zitakazooneshwa kwenye theater mbalimbali DAR, MLIMANI CITY, OYSTERBAY au QUALITY CENTER. Cheki na hizi trailers halafu ratiba yote iko...
The post Upo Dar na ungependa kwenda CINEMA leo Feb 6, 2015? Ratiba pamoja na TRAILERS zote ziko hapa !! appeared first on TZA_MillardAyo.