Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Wasanii Chege, Jux na AY ndio waliohusika kwenye story za 255 ya leo Feb 6 kwenye XXL

$
0
0

Story ya kwanza kusikika kwenye 255 ya leo kupitia XXL ya Clouds Fm msanii Chege ambaye amezungumzia uzinduzi wa wimbo wao unaotarajiwa kuzinduliwa kesho pale Escape One pamoja na video ya Vuvula ya Madee. Chege amesema kuwa wanatarajia kufanya mambo ambayo hawajawahi kuyafanya kwa kuonyesha mabadiliko makubwa wakiwemo wasanii wakali kufanya show na uzinduzi huo...

The post Wasanii Chege, Jux na AY ndio waliohusika kwenye story za 255 ya leo Feb 6 kwenye XXL appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles