Ligi kuu nchini England imeendelea hii leo kwa michezo iliyopigwa kwenye viwanja kadhaa ambapo mchezo uliochezwa uwanja wa St. James Park, Newcastle United walishinda mchezo wao wa tatu mfululizo wakiwafunga Liverpool kwa bao moja kwa sifuri mfungaji akiwa Ayoz Perez dakika ya 73. Arsenal imewafunga Burnley mabao 3- 0 kwenye uwanja wa Emirates, huku Chelsea...
The post Hiki ndicho kilichotokea ligi kuu England leo, matokeo ya michezo yote yapo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.