Baada ya ukimya wa kama miaka 5 hivi, Chris Brown ameamua kuzungumzia yote yanayomhusu ikiwemo mahusiano yake na Rihanna. Chris amesema kila kitu ni kama ilikuwa ‘mistake’, na hana haja ya kuwa na majuto kwa kuwa tayari walirekebisha tofauti zao na kwa sasa ‘pepo’ alilonalo ni pepo la kuogopa kushindwa. Akizungumzia kuhusu yeye na Rihanna,...
The post Stori kuhusiana na alichokisema Chris Brown kuhusu Rihanna,Drake pamoja na pepo linalomsumbua kwa sasa appeared first on TZA_MillardAyo.