Picha 12 za Mwana FA jinsi alivyoacha historia mkoani Tanga,ziko hapa…..
Hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA October 31 aliweka historia katika ukumbi wa Lacasachika mkoani Tanga. FA alifanya show laivu 96.0 (Tanga) iliyopewa jina ‘Mchezo Kwao...
View ArticleStory 7 Hot kwenye Magazeti ya leo November 1
MWANANCHI Simba saba wamekutwa wameuawa katika Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mara baada ya mfugaji mmoja wa Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu kufuatia ng’ombe wake mmoja...
View ArticleWakati Weusi wakiwa Arusha,Hii ni hapa Dar usiku wa leo inaitwa Instagram Party.
Watu wangu wa A Town najua mnajipanga panga kwa ajili ya party ya nguvu kutoka kwa Weusi ambao wameamua kuanzia nyumbani kwenye tour yao,Nikki wa pili,G Nako,Joh Makini,Bonta na Lord eyes watakuwa...
View ArticleStaa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi...
Blue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha. Safari hii amevalishwa ‘Halloween’, na kali zaidi ni kuwa...
View ArticleHivi ndivyo golikipa wa timu ya taifa ya Afrika Kusini alivyoagwa kishujaa.
Shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa golikipa na kapteni wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Senzo Meyiwa zimefanyika mchana wa leo Novemba 1 Durban. Mchezaji huyo alifariki baada ya kupigwa risasi siku...
View ArticleMatokeo ya Ligi kuu ya Vodacom yako hapa…
Katika michezo iliyopigwa leo Novemba 1 timu ya Yanga wamepoteza mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar kwa bao moja kwa sifuri, bao lilolofungwa na mshambuliaji Paul Ngwai aliyeingia kwenye kipindi cha pili...
View ArticleHii inahusu uzinduzi wa ujenzi kiwanja kingine cha michezo Dar es Salaam.
Rais wa Jakaya Kikwete leo amezindua ujenzi wa kituo cha Michezo katika eneo la Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Kituo hicho kinajengwa kwa ufadhili wa klabu ya Sunderland ya Uingereza,...
View ArticleHiki ndicho kilichotokea ligi kuu England leo, matokeo ya michezo yote yapo hapa
Ligi kuu nchini England imeendelea hii leo kwa michezo iliyopigwa kwenye viwanja kadhaa ambapo mchezo uliochezwa uwanja wa St. James Park, Newcastle United walishinda mchezo wao wa tatu mfululizo...
View ArticleStori kuhusiana na alichokisema Chris Brown kuhusu Rihanna,Drake pamoja na...
Baada ya ukimya wa kama miaka 5 hivi, Chris Brown ameamua kuzungumzia yote yanayomhusu ikiwemo mahusiano yake na Rihanna. Chris amesema kila kitu ni kama ilikuwa ‘mistake’, na hana haja ya kuwa na...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo Nov 2 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleMambo mawili aliyoyafanya Mwana FA kabla ya kuangusha show ya kihistoria Tanga
Tunajua kuhusu umahiri wake kwenye uandishi wa mashairi pamoja na kumiliki stage, amedumu kwenye game tangu siku ya kwanza na bado anabakia kuwa bora kila siku ndio maana siku ya Jumamosi Oktoba 31,...
View ArticleAngalia jamaa huyu alivyofanya vioja wakati mkewe akisubiri kujifungua
Hii nimekutana nayo Youtube, jamaa ameamua kutumia njia hii kumfariji mke wake ambaye alikuwa anasubiri kujifungua. Mimi niliona kama kitu kigeni, hasa sana kwa mazingira ya hospitali. Hivi ikitokea...
View ArticlePichaz za kilivyohappen kwenye @Instagrampartytz Escape 1 Dsm jana usiku !!
Ilikuwa ni time ya watu wa nguvu kufurahi,kuenjoy na kuweka kumbukumbu muhimu Nov 1 kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram kujumuika na kukutana sehemu moja ana kwa ana kwa lengo la kufahamiana...
View ArticleUmeipata hii ya Mchungaji kukamatwa na dawa za kulevya za bil.2 Tanzania ?
Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi bilioni2. Tukio hilo lilitokea juzi eneo la Tegeta nje kidogo ya...
View ArticleHivi ndivyo mwili wa aliyekuwa rais wa Zambia,Michael Sata ulivyopokelewa..
Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili Zambia tayari kwa mazishi ambayo yamepangwa kufanyika November 11. Mwili wa rais huyo umewasili uwanja wa ndege wa Kenneth Kaunda International Airport...
View ArticleYa Man United na Man City leo, hii ni mara ya ngapi kwa City kuifanyia...
Ligi kuu ya soka England imeendelea leo, mabingwa watetezi wa ligi hiyo Manchester City waliwafunga Manchester United moja bila kwenye uwanja wa Etihad, bao hilo la pekee lililoamua mchezo huo...
View ArticleStaa wa Chelsea alieshindwa kutamka jina la timu ya daraja la pili England.
Staa wa soka kutoka kwenye klabu ya Chelsea Eden Hazard ameonekana kutokuwa na ufahamu fasaha wa majina ya timu za England hasa zile za madaraja ya chini. Hii imeonekana baada ya jamaa kushindwa...
View ArticleHivi ndivyo alivyouawa nahodha wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, azikwa...
Mazishi ya aliyekuwa nahodha wa Afrika Kusini Senzo Robert Meyiwa yamefanyika Jumamosi Novemba 1 baada ya kuuawa na majambazi waliovamia nyumbani kwa mchumba wake, Kelly Khumalo . Taarifa ya namna...
View ArticleKama ulikuwa mbali na TV yako, wafahamu wengine watatu waliotolewa BBA…
Listi ya washiriki waliobaki ndani ya jumba la Big Brother Africa imezidi kushuka tena leo, muda mfupi uliopita tumeshuhudia washiriki wengine watatu wakitolewa ndani ya Jumba hilo. Kutoka kwa...
View ArticleBaada ya zaidi ya siku 360, Janet Jackson ameonekana hadharani kwa mara ya...
Baada ya kipindi chote hicho cha zaidi ya mwaka mmoja kutoonekana hadharani, Janet Jackson alionekana kwenye Vogue Fashion Dubai Experience Gala Ijumaa iliyopita huko Dubai akiwa na mume wake bilionea...
View Article