Rais wa Jakaya Kikwete leo amezindua ujenzi wa kituo cha Michezo katika eneo la Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Kituo hicho kinajengwa kwa ufadhili wa klabu ya Sunderland ya Uingereza, ambapo baada ya kukamilika kitakuwa kinatumika na umma katika michezo mbalimbali. Katika uzinduzi huo Rais ameagiza uongozi wa TFF uisimamie kila timu inayoshiriki...
The post Hii inahusu uzinduzi wa ujenzi kiwanja kingine cha michezo Dar es Salaam. appeared first on TZA_MillardAyo.