Katika michezo iliyopigwa leo Novemba 1 timu ya Yanga wamepoteza mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar kwa bao moja kwa sifuri, bao lilolofungwa na mshambuliaji Paul Ngwai aliyeingia kwenye kipindi cha pili . Katika mchezo huo Yanga walimaliza wakiwa tisa uwanjani baada ya nahodha na beki wa kati wa timu hiyo Nadir Haroub Canavarro kuonyeshwa...
The post Matokeo ya Ligi kuu ya Vodacom yako hapa… appeared first on TZA_MillardAyo.