Shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa golikipa na kapteni wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Senzo Meyiwa zimefanyika mchana wa leo Novemba 1 Durban. Mchezaji huyo alifariki baada ya kupigwa risasi siku ya jumapili majira ya saa 2 usiku, Oktoba 26 akienda kumuokoa mpenzi wake aliyekuwa amevamiwa na majambazi nyumbani kwake, tayari mtuhumiwa wa...
The post Hivi ndivyo golikipa wa timu ya taifa ya Afrika Kusini alivyoagwa kishujaa. appeared first on TZA_MillardAyo.