Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson

$
0
0

Blue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha. Safari hii amevalishwa ‘Halloween’, na kali zaidi ni kuwa kavalishwa nguo ambazo zimefanana na alizokuwa anapendelea kuvaa staa mwingine Michael Jackson. Hii ni picha iliyozagaa mitandaoni inayomuonyesha Ivy ndani ya kivazi hicho akiwa na baba’ake...

The post Staa mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles