Matukio ya uporwaji wa pikipiki kwa madereva wa Bodaboda umekua ukitangazwa kila siku kwenye maeneo tofauti ya jijini Dar huku wezi hao wakitumia mbinu nyingi na za kisasa,asa hii hapa kuna mbinu nyingine iliyotumiwa na waporaji hao kumpora jamaa pikipiki yake. 88.5 sikiliza Clouds Fm ukiwa Masasi. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on...
The post Umesikia kuhusu alichofanyiwa Dereva Bodaboda kutoka Morogoro?sikiliza kupitia Hekaheka ya leo. appeared first on TZA.