Muziki wa Tanzania unazidi kuingia kwenye headline hasa inapotokea kwenye vitu vikubwa kufanyika,mwishoni mwa mwaka jana siku ya Birthday ya Babu Tale,Madee alimkabidhi gari ya kutembelea Meneja wake huyo Babu Talle wa Tip Top Connection. Kupitia mitandao ya kijamii leo Said Fella Meneja na boss wa Tmk wanaume Family amemkabidhi nyumba Mheshimiwa Temba mjengo ambao...
The post Hii ndio nyumba ya Mheshimiwa Temba kapewa na Meneja wake. appeared first on TZA.