Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kikwete aipa Simba kiasi hiki cha pesa kwa ajili ya uwanja

$
0
0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Jakaya Mrisho Kikwete ameipa klabu ya Simba  Sh 30 milioni kwa ajili ya kukomboa hati yao ya kiwanja cha Bunju B, Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage aliwaambia wanachama wa klabu hiyo jana Jumapili katika mkutano wa wanachama wa klabu hiyo uliofanyika Bwalo la...

The post Kikwete aipa Simba kiasi hiki cha pesa kwa ajili ya uwanja appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles