Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Dakika 17 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo April 18.

Baada ya kuwa umevipitia vichwa mbalimbali vya Mgazeti,hapa nimekurekodia Magazeti tena yakisomwa na kuchambuliwa Redioni leo April 18 kupitia Power Breakfast na hapa yanasomwa na Abel Onesmo. 96.0...

View Article


Kumbe Nahodha wa kivuko kilichozama hakuwa kwenye usukani wakati inazama.

Taarifa bado zinazidi kutoka juu ya kile kivuko ambacho kilizama kikiwa na idadi kubwa ya wanafunzi,taarifa zilizopo ni kwamba msaidizi wa tatu wa nahodha wa kivuko kilichozama  anayeitwa Sewol ndiye...

View Article


Uamuzi uliotangazwa na Wizara ya fedha kwa UKAWA baada ya kususia vikao vya...

Wizara ya Fedha kupitia Naibu wake Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba wametangaza uamuzi wa kufuta malipo ya Wabunge waliosusia vikao vya mchakato wa Katiba vinavyoendelea Dodoma. Uamuzi huu...

View Article

Lupita Nyong’o anahusika kwenye movie zitakazoonyeshwa DSM kuanzia 18 April...

Kama una mpango wa kwenda kuangalia movie hasa weekend hii ya sikukuu unaweza kwenda kumuangalia Lupita Nyong’o akiwa kwenye uhusika mwingine tofauti ya ule wa 12 Years a slave. Movie aliyohusika...

View Article

Dakika 2 za Rais Jakaya Kikwete kuhusu wanaowasema vibaya Mwl Nyerere na Mzee...

Mijadala ya hapa na pale kuhusu utengenezaji wa katiba mpya imehusisha sana majina ya waasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Karume na hii imemgusa hata Rais...

View Article


Baada ya Trafiki feki sasa ni Mwanajeshi feki na jezi zake kwenye headlines

Iliwahi kutokea Tabata Dar es salaam akakamatwa askari feki wa usalama barabarani ambae ni mzee aelikua anavalia sare na madereva walikua wanajua kweli huyu ni askari na faini na rushwa akawa...

View Article

Kwa wale mnaopenda nyumba za kisasa mnaweza kupata chochote kwenye hizi picha

Nchi za wenzetu zimeendelea na umekua utamaduni wa kawaida kujenga nyumba kwa kutumia vioo kwa asilimia kubwa kwenye madirisha na milango ila kwa bongo hii inakua ngumu. Inawezekana labda gharama za...

View Article

Ulisikia kuhusu kuvamiwa kwa M-rap?sikiliza kupitia You heard ya leo.

Hii inamhusu M-Rap Lion ambaye ni miongoni mwa Ma Rapa wenye Umri mdogo wanaofanya muziki wa Bongo Flava,siku nne zilizopita walivamiwa wakati akiwa anaelekea DarLive kwa ajili ya show pamoja na...

View Article


Msikilize Mbwiga wa April 18.

Kila Ijumaa kupitia Sports Extra unapata nafasi ya kuusikiliza Udambwi dambwi wa Mbwiga moja kwa moja akiwa studio,tukiwa tunaelekea kwenye mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga Mbwiga kazungumzia pia...

View Article


Picha jingine la action halali kwa liblary yako 2014.

Wataalamu wa mambo wanasema rekodi za Liam Neeson zinashawishi kila aliemuona kwenye movie yake ya ‘Taken’ aingie mfukoni na kulipia kumuona kwenye movie nyingine kwenye ukumbi wowote wa CINEMA....

View Article

Jingine la Rais Mugabe kuhusu wanaopigia debe ushoga.

Kutana na sentensi chache zinazomuhusu mmoja kati ya Marais wenye umri mkubwa barani Afrika, Robert Mugabe wa Zimbabwe anaesifika kwa misimamo yake na sasa ametishia kuwafukuza kwenye nchi yake...

View Article

Mtanzania wa kwanza kuthibitishwa na facebook kuwa na uhalali wa account

Flaviana Matata amekua mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na Marekani ambako anaishi sasa hivi New York. Flaviana amethibitishwa rasmi na...

View Article

Mario Balotelli alipogusia na basketball

Kutana na Mario Balotelli mchezaji staa wa Italia mwenye vituko vya mara kwa mara anaeichezea AC Milan ambapo hii post ni kutoka kwenye page yake ya instagram akicheza Basketball na kisha akaandika...

View Article


Stori sio mtoto kuibiwa, stori ni huyu Askari Polisi Mwanamke kuiba mtoto

Jeshi la polisi Mbeya limemkamata  Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam kwa tuhuma za kumuiba mtoto  mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6 2014 kwa kushirikiana na baba mzazi. Ahmed Msangi...

View Article

kama ulidhani wizi wa simu umezidi bongo tu, chukua hii ya Marekani.

Ni kawaida kupewa tahadhari kwamba bongo ukiacha simu yako ovyo kama kwenye kituo cha daladala, baa, kwenye daladala, hotelini, kwenye gari binafsi na sehemu nyingine yoyote inaweza kuibwa ndani ya...

View Article


Magazeti ya leo April 19 2014

Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Magazeti ya leo April 19...

View Article

Picha ya utengenezaji wa Kipindi kipya cha Ray C.

Hii ni hatua nyingine kwa Ray C ambapo baada ya kutangaza project ya kuwasaidia watu wanaotumia madawa ya kulevya kwa sasa Ray C ameanza utengenezaji wa kipindi chake kipya cha Tv ambacho kakipa jina...

View Article


Hawa ndiyo wachezaji walioongezwa kwenye kikosi cha Taifa Stars.

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho Aprili 20 kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi ambayo...

View Article

barua ya Jeshi la Polisi iliyowazuia UKAWA kufanya mkutano Zanzibar.

Baada ya kugoma kuendelea kuhudhuria vikao vya bunge la katiba Dodoma, Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba na Freeman Mbowe ulitangaza kufanya mkutano Zanzibar...

View Article

Matokeo ya Simba na Yanga,Azam na Jkt Ruvu je? yapo hapa.

Mechi ya Simba na Yanga iliyokua ikichezwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam imekamilika kwa sare ya 1-1 huu ni mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,goli la Yanga lilifungwa na...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live