Iliwahi kutokea Tabata Dar es salaam akakamatwa askari feki wa usalama barabarani ambae ni mzee aelikua anavalia sare na madereva walikua wanajua kweli huyu ni askari na faini na rushwa akawa anazilamba kama kawaida. Stori nyingine kwenye headlines sasa hivi ni za Mwanajeshi feki nchini Kenya ambapo kituo cha TV cha K24 ndio kimeripoti hii...
The post Baada ya Trafiki feki sasa ni Mwanajeshi feki na jezi zake kwenye headlines appeared first on TZA.