Kocha Msaidizi wa Taifa Stars Salum Mayanga ametangaza wachezaji wengine 23 watakaoingia kambini kesho Aprili 20 kuungana na 16 waliotajwa awali kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi ambayo itachezwa Aprili 26 mwaka huu. Wachezaji walioitwa ni makipa Aishi Manula (Azam),Deogratias Munishi (Yanga) na Mwadili Ali (Azam) upande wa mabeki ni Abdi Banda (Coastal...
The post Hawa ndiyo wachezaji walioongezwa kwenye kikosi cha Taifa Stars. appeared first on TZA.