Jinsi ambavyo madereva Boda boda Mbeya walipoamua kuondoka na mwili wa...
Madereva boda boda kutoka Uyole-Mbeya wameingia kwenye headline baada ya kuamua kuondoka na mwili wa marehemu Gabriel Osward Ngalele ambaye alikua pia ni dereva boda boda mwenzao. Tukio hilo limetokea...
View ArticleKutoka kwa Diva na Adam Mchomvu baada ya headlines za kusimamishwa kazi...
Jana kitu kilichokua headline kubwa kwenye mtandao ni kuhusu Adam Mchomvu, Diva na B12. Hizi ndio status walizoandika Adam Mchomvu na Diva kwenye kurasa zao za instagram. Use Facebook to Comment on...
View ArticleKuwa kati ya watu wa kwanza kuangalia video ya Tema mate tuwachape kutoka kwa...
Video hii imefanywa na Ogopa videos kutoka Kenya na wimbo umerekodiwa kwenye studio za MJ Record. Kuwa kati ya watu wa kwanza kuingalia video hii ambayo ni ya kwanza kwa Madee kufanya na Ogopa videos....
View ArticleUshawahi kusikia mvua inayonyesha sehemu moja tu ndani ya nyumba?Sikiliza...
Uswahilini hakuishiwi vituko kila kukicha,hiki ni kipya ambacho kimetokea huko Mwananyamala inamhusu mpangaji ambae kakutana na kituko cha aina yake kwa kunyeshewa na mvua kitandani tu,sikiliza kupitia...
View ArticleSikiliza You heard ya leo inayowahusu Weusi
Maisha ya mastar wetu wa Tanzania huwa yanazungukwa na vitu vingi sana,Soud Brown ana-amplify taarifa za kundi la Weusi kumhama Producer wao waliyekua wanafanya nae kazi toka zamani kisa ni kipi,ni...
View ArticleUnaambiwa Wachina wameanza kutengeneza upya Meli ya Titanic.
Nchi ya China ni Nchi inayoonekana kuwa na Wakazi wanaopendela ujenzi wa majengo makubwa ya kihistoria na magari kadhaa yenye muonekano wa alama ya uchina kama ishara ya kuonyesha ufanisi wao katika...
View ArticleMsikilize Mbwiga wa Mbwiguke leo Jan 16
Kama kawaida ya Millardayo.com ni kukuwekea vitu ambavyo pengine vilikupita na umetamani kuvisikia,hapa tunaimaliza siku kwa kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke kwenye habari za michezo hiki msikilize...
View ArticleMakubwa wa magazeti ya leo Ijumaa January 17 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa...
View ArticleHizi ni dakika 18 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo.
Zitumie dakika hizi 18 mtu wangu kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za Magazeti kupitia Power Breakfast,uchambuzi huu wa Magazeti umefanywa na Gerald Hando pia utakisikkia alichokizungumza Waziri...
View ArticleHuyu ndiye mtangazaji mwingine anayetegemea kuingia kwenye Siasa 2015
Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini. ‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na...
View ArticleUmelisikia Deni analodaiwa Snura?sikiliza hapa kupitia You Heard ya leo.
Pengine inaweza kuwa skendo ama ni kweli juu ya deni analosemekana anadaiwa Snura,pamoja na pesa nyingi anazoonekana kaingiza kwa singo kadhaa kama Majanga,Debe la Vanga na Nimevurugwa,lakini kumbe...
View ArticleMeya wa Manispaa ya Bukoba ajiuzulu baada ya ripoti ya CAG
Madiwani wa Manispaa ya Bukoba wamekua na tuhuma dhidi ya Mstahiki Meya Anatory Amani kwa matumizi mabaya ya madaraka ambapo leo Meya huyo wa Manispaa ya Bukoba Anatory Amani amejiuzulu huku wakuu wa...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo jan 17
Kama kawaida ya Mbwiga wa Mbwiguke kila Ijumaa kuwepo live studio,msikilize hapa akipiga stori ndani ya Sports Extra,sikiliza kupitia 87.9 Clouds Fm Moshi na Arusha. Bonyeza play kusikiliza. Use...
View ArticleStori za magazeti ya leo Jumamosi January 18 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa...
View ArticleHizi ndio picha mpya za mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian
Kama ilivyokua kwa mara ya kwanza picha ya mtoto North West ilionekana kwenye The Ellen show. Mara nyingine tena picha za mtoto huyo zimeonyeshwa baada ya mama yake Kim Kardashian kwenda kwenye...
View ArticleAlichokijibu Madee baada ya maoni ya watu kuhusu video yake mpya.
Ikiwa ni siku ya tatu tangu kuachiwa kwa video ya Rapa toka kundi la Tip Top Connection Madee video ya wimbo wa wimbo wake wa Tema Mate Tuwachape baadhi ya maoni ya watu yamekua ni shaka juu ya video...
View ArticleYalitangazwa mashindano ya vipaji vya muziki, hawa watoto wakajitokeza
Katika baadhi ya familia watoto wamekua na nafasi ndogo sana ya kusikilizwa na kupewa nafasi ya kufanya kile wanachopenda au kutaka kukifanya kwenye maisha yao. Post hii ni maalum kwa ajili ya...
View ArticleTaarifa kamili kuhusu Kuvamiwa kwa mwigizaji Basupa.
Hii ni sehemu ya pili yenye taarifa zaidi kuhusu mwigizaji Basupa kuvamiwa usiku na watu wasiofahamika ambao walimpora. Basupa ameanza kwa kusema>>’Dah mtu wangu yaani mi mwenyewe kwanza...
View ArticleP Square sasa kwenye ukurasa mmoja na Usher Raymond, Ludacris na T.I
Siku zote ukisikia Mwafrika yeyote kanunua au anamiliki nyumba Marekani au kwenye nchi yoyote iliyoendelea sana duniani, lazima sehemu ya mawazo yako iwe ni fikra juu ya utajiiri alionao. Basi post hii...
View Article