Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Umelisikia Deni analodaiwa Snura?sikiliza hapa kupitia You Heard ya leo.

$
0
0
Pengine inaweza kuwa skendo ama ni kweli juu ya deni analosemekana anadaiwa Snura,pamoja na pesa nyingi anazoonekana kaingiza kwa singo kadhaa kama Majanga,Debe la Vanga na Nimevurugwa,lakini kumbe anadaiwa hili deni,Msikilize Snura,meneja wake Hk na mtu anaemdai kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles