Hii ni sehemu ya pili yenye taarifa zaidi kuhusu mwigizaji Basupa kuvamiwa usiku na watu wasiofahamika ambao walimpora. Basupa ameanza kwa kusema>>’Dah mtu wangu yaani mi mwenyewe kwanza nilipagawa kwa sababu ilikua kama saa 6 usiku hivi,nimetoka homu kama kawaida nikasema ngoja nikatafute msosi,wakati natoa hela nilitoa 10,000 nikarudishiwa 5,000 kumbe wale jamaa walishatoka kupiga...
↧