Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa mashabiki wa mwigizaji Ini Edo

Kwa wote wenye mapenzi na kazi ya uigizaji ya Mnigeria Ini Edo stori ni kwamba hawatomuona kwa muda kwenye filamu mpya manake sasa hivi ni mama kijacho na unaambiwa yeye na mumewe anaeishi Marekani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya goli la Everton dhidi ya Chelsea septembet 14

Ilikua mechi kali ambayo Chelsea pia walipata nafasi nyingi za kufunga lakini mkali mpya kwenye timu hiyo Samuel Etoo na wachezaji wengine kadhaa wakashindwa kuzitumia vizuri. Goli la Everton...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo Jumapili September 15 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bondia Floyd Mayweather kulipwa zaidi ya Tsh bilioni 41 baada ya kushinda...

Usiku wa Jumamosi kwa majira ya Las Vegas kulifanyika pambano la masumbwi kati ya bondia maarufu Floyd Mayweather wa Marekani na Canelo wa Mexico. Floyd ni mkubwa kiumri kwa miaka 13 zaidi ya Canelo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichokisema Dr.Cheni kuhusu mkataba wake mpya wa ubalozi wa simu za mkononi

Wasanii wengi wa Tanzania moja ya kilio chao kikubwa ni kupata mikataba na makampuni tofauti kwa ajili ya kuwa mabalozi wa kuzitangaza bidhaa hizo.Hivi sasa mkongwe kutoka thamthilia hadi hivi sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia hapa HD video ya pambano la Mayweather vs Canelo lililofanyika Sept...

Kama ulimiss kuangalia pambano la Floyd Mayweather na Canelo, video ipo hapa kwenye HD hadi round ya mwisho.Pia kuna picha za mastaa walifika kucheki mpambano huu  Denzel Washington Actor Jack...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ronaldo asaini mkataba mpya Real Madrid.

Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuwa winga wa kimataifa toka Ureno Cristiano Ronaldo amekubali kusaini mkataba mpya na klabu hiyo baada ya mazungumzo ya muda mrefu yaliyotishia mustakabali wa muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bale aanza maisha mapya Real Madrid kwa Goli.

Winga mpya wa Real Madrid Gareth Bale alianza maisha yake ndani ya klabu hiyo kwa goli katika mchezo wake wa kwanza tangu aliponunuliwa kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi . Gareth alifunga moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBA superstar Lebron James afungua ukurasa mpya katika maisha yake.

Lebron “King” James mkali kutoka Miami Heat kwenye ligi ya NBA, baada ya miaka 12 kwenye mahusiano na Savannah Brinson hatimaye wamefungua ukarasa mpya. Katika miaka hiyo yote ya mahusiano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya mambo yote ya wimbo wa “kaka dada”, hatimaye producer Lucci...

Hivi sasa producer wa wimbo wa kaka dada ameamua kumvisha pete mpenzi wake ambaye amekuwa mchumba wake rasmi.Cheki picha hapa na Lucci akiongea na millardayo.com alisema, “Baada ya mambo project ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Francis Cheka arudi shule, kuanza pre form one wiki ijayo.

Bingwa wa dunia wa WBF Francis Cheka ambaye hivi karibuni alipewa zawadi ya  kiwanja na Rais Jakaya Kikwete baada ya ushindi wake dhidi ya bondia wa Marekani, ameamua kurudi shule.Cheka anasema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumatatu 16 September 2013 kwenye Sports Xtra

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumatatu 16 September 2013 kwenye Sports Xtra Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa 255 ya Jumanne 17 September 2013 On XXL

Stamina Millard Ayo na Mansulii Lebron James na Savannah Brinson Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo September18 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi ya Mabingwa barani ulaya yaanza .

Michuano mikubwa kwa ngazi ya vilabu duniani UEFA Cahmpions League ilianza rasmi hapo jana ambapo viwanja nane barani humo vilishuhudia timu 16 zikivaana . Kocha wa Manchester United David Moyes akiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa magazeti ya leo Jumatano 18 September 2013 kwenye Power Breakfast

Sikiliza  hapa magazeti ya leo Jumatano 18 September 2013 kwenye Power Breakfast Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa Hekaheka ya leo Jumatano 18 September 2013 kwenye Leo Tena

Sikiliza hapa Hekaheka ya leo Jumatano 18 September 2013 kwenye Leo Tena Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa 255 Jumatano 18 September 2013 kwenye XXL

Diamond Pancho Latino Drake na The Game Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumanne 17 September 2013 kwenye Sports Xtra

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumanne 17 September 2013 kwenye Sports Xtra Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza na download hapa wimbo mpya wa Rich Mavoko

Rich Mavoko anasema kwamba kwenye wimbo mpya  anazungumzia hali ya mapenzi ambayo upo na mpenzi wako, lakini umefika wakati ambapo unataka aende zake akuachie roho yako. Kutokana na matatizo...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live