Lebron “King” James mkali kutoka Miami Heat kwenye ligi ya NBA, baada ya miaka 12 kwenye mahusiano na Savannah Brinson hatimaye wamefungua ukarasa mpya. Katika miaka hiyo yote ya mahusiano ya wamefanikiwa kupata watoto wawili, hivi sasa wamefunga ndoa na kuwa mke na mume halali kabisa.
Mahusiano ya hawa wawili yametoka tangu wakiwa high school na harusi yao ilihudhuriwa na baadhi ya watu wao wa karibu kama Dwayne Wade,Gabrielle Union,Chris Bosh na kubwa zaidi Jay Z na Beyonce waliperform wimbo wa “Crazy in Love”
Chris Bosh akiwa tayari kwenda kwenye harusi