Liberia yaelemewa mapambano dhidi ya Ebola
Wakati ulimwengu ukikabiliwa na changamoto ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa Ebola, nchi ya Liberia ambayo imeathiriwa zaidi na ugonjwa huo imetangaza kukabiliwa na upungufu wa mifuko maalum ya...
View ArticleWasichana 200 waliotekwa na Boko Haram watarajiwa kuachiwa huru
Serikali ya Nigeria imesema wamefikia makubaliano ya kusitisha mapambano na kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram, ambapo katika taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na makubaliano hayo imesema kuwa...
View ArticlePichaz 17 kutoka kwenye uzinduzi wa video ya Shilole ‘Namchukua’ ziko hapa
Usiku wa Oct 17 Zuwena Mohamed aka Shilole amezindua video ya single yake mpya ‘Namchukua’,video ambayo imeongozwa na director Kevin Bosco Junior nchini Kenya.Uzinduzi huo ulifanyika Coco Lounge...
View ArticleMagazeti ya leo October 18 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleKutoka Escape 1 huyu ndiye mshindi wa Serengeti Super Nyota 2014.
Mashindano ambayo yalikusanya jumla ya wasichana 14 kutoka miji 14 tofauti kwa ajili ya kutafuta kipaji kimoja ambacho kitawakilisha hiyo miji mingine hatimaye kimepatikana usiku wa kuamkia October 18...
View ArticleHivi ndivyo T.I alivyopokelewa baada ya kutua uwanja wa ndege Dar es salaam....
Tunajua rapper T.I kutoka Marekani ni mmoja wa wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Fiesta linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na wakali wengine...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 19 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleKama ulikosa kilichojiri jana kati ya Simba vs Yanga – hizi hapa picha za...
Askari wa Farasi kutoka Kikosi cha FFU wakihakikisha wakiwa katika doria nje ya Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo. Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na mshambuliji wa Simba,...
View ArticleMagazeti ya leo October 20 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUmeisika stori ya fundi wa mifuko ya iPhone huko China? Isome hapa
Siku moja baada ya kampuni ya Apple kufanya uzinduzi wa simu za iPhone 6 na iPhone 6+ nchini China, mapya yameibuka katika mitandao kuhusiana simu hizo. Kuingia kwa simu hizo katika soko la China,...
View ArticleUnatamani kuwajua wasanii 3 wa Tanzania anaowakubali Hermy B ?kawataja hawa.
Producer na mmiliki wa studio ya B-Hits Hermy B wiki iliyopita alipata nafasi ya kuhojiwa na Salama kwenye kipindi cha Mkasi ambapo miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni pamoja na wasanii anaowakubali...
View ArticleHivi ndivyo ulivyokuwa usiku wa Wema kwa Ubaya ndani ya Club 71
Ni usiku wa kuamkia Oct 20 ambapo mashabiki wa bongofleva kutoka maeneo mbali mbali waliojitokeza kwa wingi ‘kumpa shavu’ msanii Linex katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex uliopo maeneo ya Tegeta Dar...
View ArticlePolisi yaua mlipuaji wa mabomu Arusha
Tumekuwa tukipata taarifa zinazohusu matukio ya mauaji ambayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara nchini Tanzania, hali ambayo imeonekana kukithiri katika siku za usoni huku jeshi la polisi likitoa...
View ArticleUnafahamu washiriki waliotupwa nje Big Brother? Hawa hapa
Aliyekuwa mwakilishi wa kutoka Kenya ndani ya jumba la Big Brother nchini Afrika Kusini, Sabina ametolewa katika jumba hilo. Taarifa zilizowekwa katika ukurasa wa mtandao wa Standard Digital ya nchini...
View ArticleStory 8 hot Magazeti ya leo October20
MTANZANIA Mtu aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza amezikwa kwa tahadhari kubwa na wataalam wa afya. Wakati mtu huyo akizikwa jana hofu kubwa imetanda Mikoa ya...
View ArticleSentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye...
October 18 ilikua ni siku maalum ya Wakazi wa Dar es salaam kula bata kwenye msimu wa mafanikio ambao unapita mara moja kila mwaka kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania. Ilikua ni good time ya ukweli...
View ArticleUnafahamu namna watu hawa walivyopona Ebola? Stori iko hapa
Taarifa kuhusiana na Ebola zimekuwa zikichukua headlines kila siku katika vyombo mbali mbali vya habari duniani, tangu uliporipotiwa kulipuka huko Afrika Magharibi. Mlipuko wa Ebola umeelezewa...
View ArticleUmeisikia stori ya Boko Haram kuigeuka serikali ya Nigeria? Isome hapa.
Siku chache baada ya vyombo mbali mbali vya habari kuripoti kuhusiana na serikali ya Nigeria na kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram kufanya makubaliano ambayo yalijenga matumaini ya kuachiwa huru kwa...
View ArticleDakika 3 za Hemedy PHD na Gelly kwenye hii video mpya!
Gelly wa Rhymes na Hemedy PHD wamekua friends ambao kazi yao kubwa ya movie wanaifanya pamoja lakini kazi yao nyingine ikibaki palepale ambayo ni kufanya muziki wa bongofleva. Ninayo furaha sasa hivi...
View ArticleTutarajie video mpya ya @VanessaMdee kutoka nje ya Tanzania?
Maoni ya Wasanii wengi wakubwa wa Tanzania niliozungumza nao kwa asilimia kubwa hayapingani na maamuzi ya mastaa wengi wa bongo kwenda kufanya video za muziki wao nje ya Tanzania na hii ni sababu ya...
View Article