Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hivi ndivyo ulivyokuwa usiku wa Wema kwa Ubaya ndani ya Club 71

$
0
0

Ni usiku wa kuamkia Oct 20  ambapo mashabiki wa bongofleva kutoka maeneo mbali mbali waliojitokeza kwa wingi ‘kumpa shavu’ msanii Linex katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex uliopo maeneo ya Tegeta Dar es Salaam. Katika party hiyo iliyopewa jina la ‘Wema kwa Ubaya Night’, Linex alipewa kampani ya nguvu kutoka kwa Country Boy, Kajala...

The post Hivi ndivyo ulivyokuwa usiku wa Wema kwa Ubaya ndani ya Club 71 appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles