Aliyekuwa mwakilishi wa kutoka Kenya ndani ya jumba la Big Brother nchini Afrika Kusini, Sabina ametolewa katika jumba hilo. Taarifa zilizowekwa katika ukurasa wa mtandao wa Standard Digital ya nchini Kenya zinasema, mwakilishi huyo ambaye pia ni mtangazaji wa televisheni amekuwa kivutio cha watazamaji wengi wa show ya Big Brother. Sabina ametolewa ndani ya jumba...
The post Unafahamu washiriki waliotupwa nje Big Brother? Hawa hapa appeared first on TZA_MillardAyo.