Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Pussy Riot na hii video kulaani mauaji wa watu wenye asili ya Afrika ndani ya MAREKANI

$
0
0

Tuliona walichofanya mastaa wa Marekani kupinga mauaji ya watu weusi yaliyotokea kwenye nchi hiyo ikiwahusisha maafisa wa usalama. Kwenye mitandao ya kijamii kuliandikwa ujumbe uliokuwa na hashtag ya ‘I Can’t Breathe’ na zikawepo mpaka tshirt zenye neno hilo kupinga mauaji ya Eric Garner na hayo yalikuwa maneno yake ya mwisho aliyoyasema kabla ya kuuawa na Polisi kwa kukabwa...

The post Pussy Riot na hii video kulaani mauaji wa watu wenye asili ya Afrika ndani ya MAREKANI appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles