Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Nimekusogezea matokeo ya Barcelona vs Malaga hapa

$
0
0

Baada ya kushinda mechi 10 mfululizo katika siku za hivi karibuni – FC Barcelona wakiwa na kikosi chao kilichosheheni mastaa leo kilipambana na Malaga katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Hispania. Mchezo huo uliochezwa kwenye dimba la Camp Nou – tumeshuhudia Barca wakipunguzwa kasi kwa kushindwa kupata ushindi ambao ungewapeleka kwenye usukani mwa...

The post Nimekusogezea matokeo ya Barcelona vs Malaga hapa appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles