China na Sheria zao, Serikali ya nchi hii ni moja kati ya chache ambazo zimekuwa mstari wa mbele kwenye utekelezaji wa chochote kile ambacho watakiamua, kwa wakati wowote na kwa njia yoyote. Moja ya stori za mwisho mwisho kusikika kutoka China ni ishu ya kila mtu kutakiwa kujisajili kwenye mitandao ya kijamii kwa majina yote...
The post Mitandao ya picha na video za ngono CHINA wameenda hatua moja mbele.. appeared first on TZA_MillardAyo.