Wanawake wanne wamekamatwa Nakuru Kenya baada ya kudaiwa kuhusika katika wizi wa watoto wachanga waliotoka kuzaliwa ambapo watoto huzaliwa na kuibiwa kabla ya mama mjamzito kugundua. Wanawake hao walikamatwa wakiwa na watoto wawili wachanga wenye umri wa siku nne ambao waliwaiba huku mashuhuda wakisema kuwa wizi wa watoto hao unafanyika kwa kushirikiana na mkunga. “Inasemekana wametoka...
The post Ishu ya watoto wachanga kupotea Hospitali, kuna hii stori ya waliokamatwa Kenya appeared first on TZA_MillardAyo.