Bongo tunaita muziki wetu wenyewe Bongo Fleva, ukifika Nairobi unaambiwa wao wana Genge, muziki ambao tumeusikiliza ukisafiri kwenye njia moja ya burudani Afrika Mashariki na hii Bongo Fleva, Jua Cali ni mmoja ya Wagenge ambao wamesafiri safari ndefu sana na hii Genge. Safari hii mgenge kajipanga, anakuja na Single inayoisimulia Nairobi yao yani, unaambiwa humo...
The post Hiki ni kionjo tu mtu wangu cha VIDEO ya Mgenge wa Nguvu, JUA CALI.. appeared first on TZA_MillardAyo.