Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

PICHAZ za Beach 15 kali zenye mvuto zaidi Duniani.. Afrika ziko mbili kwenye...

Beach ni sehemu ambayo watu wengi huenda kuspend na watu wao, wanaenjoy hewa safi ya ufukwe, wengine wanaogelea basi inakuwa burudani. Wengi hupendelea kwenda maeneo hayo siku za weekend, wengine baada...

View Article


Video ya mkali kutoka Kenya, Rabbit King mwenyewe feat. Rich Mavoko- ‘Njoo’

Mipaka ya kazi za kisanaa inazidi kupanuka kwa mkali kutoka 255 Bongo Flevani, Rich Mavoko ambaye safari hii moja ya vitu vilivyoonekana sana kwenye ukurasa wake wa Instagram ni PICHAZ akizungumzia...

View Article


Stori mbili kubwa kutoka Uganda, mabaki ya mwili wa Idi Amin na ishu ya...

Baadhi ya Wabunge Uganda wamepinga kuhusu mpango wa kurudisha mabaki ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Idi Amin Dada kutoka Saudi Arabia na kuletwa nchini humo kwa ajili ya mazishi ya heshima ambapo...

View Article

Kinachoendelea kwa sasa kuhusu ishu ya wachezaji wa Ghana kupewa zawadi ya...

Ivory Coast waliibuka washindi wa AFCON 2015, wakapokelewa kwa shangwe la nguvu nyumbani kwao unaambiwa mpaka Rais wao alikuwepo kuwapokea mabingwa hawa, halafu kila mchezaji akapatiwa zawadi ya pesa...

View Article

Kuna maeneo Kenya mwizi akikamatwa watu wanachukua sheria mkononi…

Hakuna mtu anayependa wizi kiukweli, ikitokea mwizi amekamatwa mara nyingi watu hujichukulia Sheria mikononi kutokana na hasira za kuuchukia uhalifu. Hii kutoka Kenya, wakazi wa eneo la Laare Kenya...

View Article


Stori 10 za AMPLIFAYA February 18, 2015 kwako uliezikosa mtu wangu...

Ni time ya kufahamu kwa ufupi stori zilizofanikiwa kumiliki namba 10 za Amplifaya Jumatano hii… kwenye countdown ambayo husikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa tatu on...

View Article

Stori za Facebook,Twitter, Instagram, Blogs February 18, 2015 ziko hapa

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Siku hizi baadhi ya...

View Article

List ya Wakuu wa Wilaya wapya, waliobadilishwa na waliosimamishwa ninayo hapa..

Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo umri, afya na nyinginezo ni hawa hapa; James Kisota Ole Millya- Longido Elias Wawa Lali- Ngorongoro Alfred Ernest...

View Article


Usikilize hapa utani wa Baba levo leo wanasemwa mastaa na magari yao!

Baba Levo ni msanii ambaye utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYA CloudsFM kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa tatu usiku ambapo leo Feb 18 ametusogezea hii kuhusu...

View Article


Jose Chameleone na Bebe Cool wa Uganda! wanasema magari haya ndio zawadi ya...

Wengi wamepokea na kutoa zawadi zao siku ya VALENTINE, siku ya wapendanao imepita lakini wapendanao wanaendelea kupeana zawadi mpaka leo ambapo ni zamu ya mastaa wa muziki kutoka Uganda Jose kampatia...

View Article

Kwenye 255 ya leo FEB19 wamesikika Tunda Man, Rich Mavoko na Mbunge Zitto Kabwe

  Kwenye zile zilizosikika leo February 19 kwenye 255 ishu ya kwanza ni story ya mastar wawili Bongo Flevani, Matonya na Tunda Man, ishu iliyokuwepo ni wawili hao kutoelewana kwa muda mrefu. Tunda Man...

View Article

Afroman na kesi ya kupiga shabiki wa kike, hapa iko video ya tukio..

Afroman ni mmoja ya mastaa waliowahi kusikika wakifanya poa kwenye muziki kutoka Marekani, lakini tukio alilolifanya safari hii limewashtua wengi, hawajalipenda kiukweli. Jamaa alikuwa stejini akifanya...

View Article

Ujumbe wa mtoto kuwazuia wazazi wake wasishiriki harusi yake..

Tumezoea kupata mialiko ya sherehe, hivi unaweza kuamini kuna mtu anaandaa kabisa yani kadi ya kumkataza mtu asihudhurie sherehe yake! Msichana huyo Alyssa kutoka  Adelaide, Australia aliondoka...

View Article


Hiki ni kionjo tu mtu wangu cha VIDEO ya Mgenge wa Nguvu, JUA CALI..

Bongo tunaita muziki wetu wenyewe Bongo Fleva, ukifika Nairobi unaambiwa wao wana Genge, muziki ambao tumeusikiliza ukisafiri kwenye njia moja ya burudani Afrika Mashariki na hii Bongo Fleva, Jua Cali...

View Article

Ishu ya watoto wachanga kupotea Hospitali, kuna hii stori ya waliokamatwa Kenya

Wanawake wanne wamekamatwa Nakuru Kenya baada ya kudaiwa kuhusika  katika wizi wa watoto wachanga waliotoka kuzaliwa ambapo watoto huzaliwa na kuibiwa kabla ya mama mjamzito kugundua. Wanawake hao...

View Article


Kwenye Top10 ! Mwanamke aliyemuuza mama yake mdogo, mbinu mpya chanjo ya HIV,...

Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM Tanzania ikihusu habari 10 za siku zinazohesabiwa kwenye dakika 120, za siasa, muziki, michezo, movies na mengine mengi ambapo...

View Article

Hii ya watu wenye asili ya INDIA kuishi bila makazi Nairobi nayo iko kwenye...

Katikati ya Jiji la Nairobi kuna watu ambao wana asili ya kihindi, hawana makazi ya kuishi na wamekuwa wakiishi kwa kuombaomba. Watu hao wamekuwa na maisha hayo mbali ya kuwa na ndugu. Kijana mmoja...

View Article


Iyanya kaisambaza hii na Diamond Platnumz leo.

Mara ya kwanza ilikua ni zamu ya Iyanya kushirikishwa na Diamond Platnumz lakini time hii ni zamu ya Diamond kushirikishwa na Mnigeria huyu staa wa hit single ikiwemo ‘Mr. Oreo‘ Iyanya ameamua kuiita...

View Article

Picha na taarifa ya mtu wa Nicki Minaj aliyeuwawa kwa visu, huyu mwingine...

Hawa jamaa wawili wanaoonekana kwenye picha walikua ni sehemu ya timu ya Nicki Minaj, walikwenda sehemu inaitwa Philadelphia Marekani ambapo ni siku mbili tu zimepita toka waingie kwenye mji huo kwa...

View Article

Mwanza nzima hili ndio litakua gorofa refu kuliko yote 2016.

Mwanza ni moja ya sehemu tatu za Tanzania ambazo huwa nazipenda sana na hata wakati mwingine kuvutiwa kuzitembelea kila ninapopata nafasi. Mabadiliko ambayo wengi wangependa kuyaona ni jiji hili...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live