Mr. Flavour alisema hayuko tayari kuoa kwa sasa kwa sababu muziki wake bado unamdai, leo kuna staa mwingine ambaye umri wake ni miaka 37 mpaka sasa lakini amesema kuwa hayuko tayari kujivika jukumu la ndoa kwa sasa. Mkali ambaye wengi tulimfahamu kupitia ile kolabo aliyopewa na P Square, hit-song ya Good or Bad, anaitwa Enetimi Alfred...
The post Baada ya Mr. Flavour kukataa kuingia kwenye ndoa, staa huyu mwingine naye ana msimamo huu… appeared first on TZA_MillardAyo.