Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Picha 10 kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu Aisha Madinda sehemu ulipo msiba

Mazishi ya mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda yaliyokuwa yafanyike leo yameahirishwa kutokana na mwili wake kuendelea kufanyiwa uchunguzi Hospitali na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho baada...

View Article


Mkusanyiko wa stori za Facebook, Twitter, Instagram na Blog December 18 ziko...

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. #Mwana video premiers...

View Article


Unaifahamu timu yenye wachezaji wazee kuliko zote England?

Barani ulaya kila kitu hutawaliwa na tarakimu ambazo huwakilisha takwimu ambazo huhifadhiwa ili kuweka kumbukumbu ya jinsi ya kuendesha masuala mbalimbali kuanzia siasa , uchumi , biashara binafsi za...

View Article

#REWIND Inakupeleka miaka hiyo Wiz Khalifa ndio anaanza!

Kila mmoja ana historia yake kwenye haya maisha, kila mmoja amepitia hatua flani mpaka hapo alipofikia sasa hivi!! Wiz Khalifa ni mmoja wao, rapper mwenye umri wa miaka 27. Single yake ya kwanza kupata...

View Article

Boyfriend wa Lil’ Kim kachukua headlines baada ya alichokifanya kwenye hii...

Ni stori ambayo sio mpya tena kwamba rapper Lil Kim na Nicki Minaj hawaivi, sasa stori imekua kubwa baada ya rapper Mr. Papers ambae amezaa mtoto na Lil Kim June 2014 kupost hii picha ya Nicki Minaj...

View Article


Hii mpya ya Maximo nayo imemsuprise kila anaefatilia kufukuzwa kwake.

Mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally (salehjembe.blogspot.com) ameripoti kwamba kocha Marcio Maximo ambae amechukua nafasi kwenye vyombo vya habari baada ya taarifa kwamba katimuliwa kwenye club...

View Article

Wiz Khalifa kaungana na Davido na Huddah kwenye list ya Xmas hii.

Ni gari aina ya Bugatti Veyron Rembrandt edition alilolinunua ambalo amelipa jina lake badala ya kuweka namba kama raia wengine huku pesa ya kulinunua ikitajwa kuwa ni 2.5 million ambayo kwa Tanzania...

View Article

Angel Di Maria amemuacha Lionel Messi kwenye hii…

Ángel Fabián Di María Hernández ni staa wa soka aliezaliwa miaka 26 iliyopita huko Argentina ambae kuanzia mwaka 2005 mpaka sasa ameshachezea club 4 za soka ambazo ni Rosario Central kuanzia 2005 –...

View Article


Madeni kumfikisha ‘The ambassador, D’Banj’ Mahakamani

Kutoka Lagos, Nigeria yule Beats by Dre official ambassador ana headline nyingine, baada ya kutoa zawadi ya zile headphones kali kwa Mr. President kumbe ana mzigo fulani wa deni  ambao mdeni anasema...

View Article


Kurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo December 19, 2014

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Rekodi nyingine aliyoivunja Rihanna mwaka 2014…

Fashion ni biashara ya neema kwa Rihanna, Instagram yake iko busy sana, kukutana na picha za lipstick, magauni, viatu na perfume ni kawaida. Hiyo ni biashara ambayo inamlipa zaidi huenda kuliko muziki,...

View Article

Kama umepitwa na Magazeti yakisomwa hewani leo Desemba 19, unaweza...

Ulikuwa mbali na Redio yako na hukusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM? yako hapa nimekurekodia unaweza kusikiliza. Habari inayohusu uteuzi wa Rais...

View Article

Hizi ni zile Stori zilizopewa nafasi kwenye Magazeti ya leo Tanzania December...

  MWANANCHI Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Mstaafu Joseph Warioba licha ya kushambuliwa na mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba mpya hakuna mtu aliyejitokeza kujimbu hoja zaidi...

View Article


Baada ya Mr. Flavour kukataa kuingia kwenye ndoa, staa huyu mwingine naye ana...

Mr. Flavour alisema hayuko tayari kuoa kwa sasa kwa sababu muziki wake bado unamdai, leo kuna staa mwingine ambaye umri wake ni miaka 37 mpaka sasa lakini amesema kuwa hayuko tayari kujivika jukumu la...

View Article

Punda anasifika kwa kubeba mizigo mizito… lakini uzito wa jamaa huyu...

Mwanaume mmoja nchini Hispania amefunguliwa mashtaka ya kutesa wanyama baada ya kusababisha kifo cha punda aliyemuua wakati akimkalia kwa lengo la kupiga nae picha. Sabu ya kifo cha punda aliejulikana...

View Article


Mtaani anapendeza sana… Unajua chumbani kwake anakuacha kukiwa na hali gani?

Kuna watu wengi ambao huwa wanapata tabu wakati wa kufanya maamuzi juu ya mavazi ya kuvaa wakati wa kutoka, huenda wewe ukawa mmoja wao lakini ishu ni kwamba je mpaka unapotoka ndani ya chumba chako,...

View Article

Unadhani Selena Gomez anaumizwa? Jicho lake linawatazama Bieber na Hailey...

Licha ya kila mmoja kuridhika na kuvunjika kwa mapenzi yao lakini bado babygirl wa zamani wa Justin  Bieber kuna dalili za maumivu anayoyapata akiushuhudia ukaribu wa Bieber na mwanadada Hailey Baldwin...

View Article


Real Madrid walivyotwaa ubingwa wa dunia jana Morocco

Klabu ya Real Madrid ya Uhispania jana ilitawazwa kuwa mabingwa wapya wa klabu bingwa ya dunia wakiwarithi FC Bayern Munich. Wakicheza kwenye uwanja wa Marrekech, nchini Morocco Madrid jana walipata...

View Article

Kutoka Mikocheni Dar es salaam, hizi ni dakika 3 za video inayoonyesha...

AyoTV ilikua kwenye eneo lenyewe ambako kumefanyika party ya birthday ya msanii/mwigizaji Shilole December 20 2014 iliyofanyika Dar es salaam, kama unataka kuona ilivyokua bonyeza play kwenye hii video...

View Article

Party nyingine ya miaka 15 ya Clouds ni hii imefanyika Dec 21.

December 02 ndiyo siku rasmi ya kuanzishwa kwa kituo cha Clouds Fm ambapo kwa mwaka huu kimetimiza miaka 15,taarifa ilitoka kuwa hii si Birthday ya siku moja bali ni Birthday ya mwezi mzima huu...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live