MWANANCHI Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Jaji Mstaafu Joseph Warioba licha ya kushambuliwa na mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba mpya hakuna mtu aliyejitokeza kujimbu hoja zaidi ya kumpiga vita kwa kutumia njia wanazozijua. Warioba alisema watu hao wanaomshambulia wamekua wakitoa majibu mepesi kwamba yeye anamsaliti Mwalimu Nyerere lakini kwa mambo anayoyazungumza hata...
The post Hizi ni zile Stori zilizopewa nafasi kwenye Magazeti ya leo Tanzania December 21, 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.