Staa wa soka kutoka kwenye klabu ya Chelsea Eden Hazard ameonekana kutokuwa na ufahamu fasaha wa majina ya timu za England hasa zile za madaraja ya chini. Hii imeonekana baada ya jamaa kushindwa kutamka jina la timu ambayo klabu yake ilikutana nayo katikati ya wiki kwenye michuano ya kombe la Capital One ambako timu yake...
The post Staa wa Chelsea alieshindwa kutamka jina la timu ya daraja la pili England. appeared first on TZA_MillardAyo.