Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Ya Man United na Man City leo, hii ni mara ya ngapi kwa City kuifanyia United? waliotolewa je?

$
0
0

Ligi kuu ya soka England imeendelea leo, mabingwa watetezi wa ligi hiyo Manchester City waliwafunga Manchester United moja bila kwenye uwanja wa Etihad, bao hilo la pekee lililoamua mchezo huo lilifungwa na mshambuliaji raia wa Argentina Sergio Kun Aguerro ambaye alimalizia pasi ya Gael Clichy . United katika mchezo huo ilimaliza ikiwa pungufu baada ya...

The post Ya Man United na Man City leo, hii ni mara ya ngapi kwa City kuifanyia United? waliotolewa je? appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles