Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Story 7 Hot kwenye Magazeti ya leo November 1

$
0
0

MWANANCHI Simba saba wamekutwa wameuawa katika Hifadhi ya Jamii ya Ikona (WMA) wilayani Serengeti, mara baada ya mfugaji mmoja wa Park Nyigoti kudaiwa kuwatega kwa sumu kufuatia ng’ombe wake mmoja kukamatwa malishoni ndani ya hifadhi hiyo. Askari wa pori la akiba wakiongozana na mfugaji mmoja walibaini mizoga ya simba hao katika eneo ambalo inasemekana alikamatwa...

The post Story 7 Hot kwenye Magazeti ya leo November 1 appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles