Hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA October 31 aliweka historia katika ukumbi wa Lacasachika mkoani Tanga. FA alifanya show laivu 96.0 (Tanga) iliyopewa jina ‘Mchezo Kwao Hutuzwa’ chini ya udhamini mkubwa wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania akisindikizwa na B Doden & Dj Zero kutoka Double XXL ya Clouds FM. Ni...
The post Picha 12 za Mwana FA jinsi alivyoacha historia mkoani Tanga,ziko hapa….. appeared first on TZA_MillardAyo.