Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Bashungwa akiapishwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Rais Samia amewaapisha Mawaziri wapya watatu aliowateua jana ambao ni Waziri wa ulinzi Innocent Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki na Waziri wa mambo ya nje Dr. Stergomena Tax. Hapa...

View Article


Video: Dkt Tax akiapishwa kuwa Waziri mpya wa Mambo ya Nje

Rais Samia amewaapisha Mawaziri wapya watatu aliowateua jana ambao ni Waziri wa ulinzi Innocent Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki na Waziri wa mambo ya nje Dr. Stergomena Tax . Hapa...

View Article


Rais Samia akimuapisha Angella Kairuki kuwa Waziri mpya TAMISEMI

Rais Samia amewaapisha Mawaziri wapya watatu aliowateua jana ambao ni Waziri wa ulinzi Innocent Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki na Waziri wa mambo ya nje Dr. Stergomena Tax .  

View Article

Video: Mambo matatu aliyoyataja Rais Samia kwa Mawaziri wapya

Rais Samia amewaapisha Mawaziri wapya watatu aliowateua jana ambao ni Waziri wa ulinzi Innocent Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki na Waziri wa mambo ya nje Dr. Stergomena Tax ambapo baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Mwasa ataka taasisi za Kilimo kutoa Elimu ya Kilimo bora

Mkuu wa Mkoa Morogoro Fatma Mwasa amezitaka taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kilimo kutoa elimu kwa wakulima ili wananchi wajikwamue kupitia sekta hiyo. RC Mwassa ameyasema hayo wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 4, 2022

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 4, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, MDOGO WA ALIKIBA APANDA...

View Article

Ronaldo aruhusiwa kuondoka January na Ten Hag

Ripoti kutoka nchini England zinaripoti kuwa kocha wa Manchester United Eric ten Hag yupo tayari kumruhusu mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo kuondoka klabuni hapo kwenye dirisha dogo la usajili la...

View Article

Mtanzania anaepiga ngumi kama anaua, “Mandonga, Mwakinyo waje” (+video)

AyoTV ilifika Airport kumpokea Chriss Tibenda Mtanzania ambaye ameibuka bingwa katika pambanano la MMA nchini Uganda na video yake ku-trend sana mtandaoni kwa jinsi alivyokua akimpiga mpinzani wake....

View Article


IGP Wambura aingilia sakata la Askari kukatwa panga

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camilius Wambura ameingilia kati sakata la askari polisi wa wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Koplo Wilfred Kavishe aliyejeruhiwa kwa kukatwa panga kichwani na...

View Article


Wanaume wauana wakigombea Mwanamke

Mussa Bakari (21) a Ibrahim Shabani (28), wote wakazi wa Kijiji cha Mkangaula, Kata ya Namalenga wilayani Masasi mkoani Mtwara, wameuana baada ya kupigana kwa kutumia magongo wakigombea mwanamke...

View Article

Kisa ukame Kenya yaruhusu mbegu za maabara

Rais wa Kenya, William Ruto ameruhusu uagizaji wa nafaka zinazozalishwa maabara ili kukabiliana na njaa inayowakabili mamilioni ya raia wa Kenya kutokana na ukame mkubwa ambao umeshuhudiwa kwa mara ya...

View Article

Masanja apewa maneno “Akijiua kwa ajili yake furahi, alipofika nyumbani alioga”

Ni Headlines za Katibu wa Mchekeshaji Masanja aitwae Joas Steven ambae amekutwa amejinyonga nyumbani kwake. Sasa hapa nimekusogezea ufahamu mastaa mbalimbal waliomuandikia Masanja kuhusiana na msiba...

View Article

Mapya yaibuka Masanja na Mkewe, Muliro “Alitaka Mapenzi na mke wa Masanja”

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne amesema uchunguzi wa awali wa Polisi kuhusu tukio la Katibu wa Mke wa Masanja Mkandamizaji kujiua kwa kujinyonga umeonesha kwamba Marehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA Geita “mapato yameongezeka asilimia 67”

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) Mkoa wa Geita imesema kwa kipindi cha Mwaka wa Fedha wa 2020/21 walikuwa na ongezeko la Mapato kwa Asilimia 67 ukilinganisha na Lengo walilojiwekea kukusanya kwa...

View Article

Huyu hapa Katibu wa Masanja aliemtaka kimapenzi mke wa Masanja, ana mke, mcheshi

Ni Headlines za Katibu wa Mchekeshaji Masanja aitwae Joas Steven ambae amekutwa amejinyonga nyumbani kwake. Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia stori fupi ufahamu yale usiyoyafahamu.   MAPYA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 5, 2022

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 5, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, MWANAMKE MWAMBA ANAPIGA NGUMI...

View Article

Askari aliekataa rushwa ya Milioni 466 apewa cheti

Afisa wa Polisi wa Kitengo (DPO) makao makuu ya polisi huko Bompai, Kano nchini Nigeria, Daniel Amah, ametunukiwa Tuzo ya Uadilifu katika Utumishi wa Umma na Rais Muhammadu Buhari. Amah, mzaliwa wa...

View Article


Waziri Mchengerwa afika kambi ya Ertugul na Ottoman

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 4, 2022, ametembelea eneo mashuhuri la uigizaji wa filamu nchini Uturuki chini ya mwongozaji mahiri wa filamu Mehmet Bosdaq, Bosdaq...

View Article

Afisa habari Azam FC afungiwa na TFF

Afisa habari wa Azam FC Thabit Zakaria (Zakazakazi) ametozwa faini ya Tsh 500,000 na kufungiwa kujihusisha na soka katika kipindi cha miezi mitatu. Thabit amepewa adhabu hiyo Kutoka bodi ya Ligi...

View Article

Tembo Warriors watinga robo fainali World Cup

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu “Tembo Warriors” leo wamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu kwa kuifunga Japan 3-1....

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live