Kijana Bilionea, ana malori 100, ameajiri watu 200, Twalib Hussein, ufagiaji...
Moja ya Interview iliyofanya AyoTV ni ya Kijana mdogo Mtanzania Twalib Hussein Abdul ambaye ni miongoni mwa Bilionea wa Tanzania, Twalib anafanya biashara ya usafirishaji kwa kutumia malori ambapo...
View ArticleVideo: Utacheka vituko vya Aggrey Mwanri “Leta hela, Kamata njoo hapa,...
Balozi wa zao la Pamba nchini Agrey Mwanri ambae awali aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema vijana wengi hawajaona fursa zilizopo katika zao la Pamba huku wengi wakijikita kucheza Michezo ya...
View ArticleMjamzito abakwa hadi kufariki “Mbakaji alimvunja shingo”
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia mkazi wa Manispaa, Mohamed Njali, kwa tuhuma za kumdhalilisha kijinsia mama mjamzito, Atka Kivenule na kumsababishia kifo chake. Tukio hilo limetokea...
View ArticleVideo: Ujumbe wa Manara kwa wanaosema kuwa mkewe alikuwa kwenye mahusiano na...
NI Headlines za Haji Manara ambae time hii ameingia live kupitia ukurasa wake wa Instagram kuzungumzia mengi ikiwemo na taarifa inayodaiwa kuwa mkewe hapo awali alikuwa kwenye mahusiano na...
View ArticleEU yakataza ‘toilet paper’ za Urusi
Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kifurushi cha nane cha vikwazo dhidi ya Urusi ambacho kinalenga kuzuia uingizwaji na uuzaji wa bidhaa zinazo zalishwa Urusi kama sabuni, manukato na hata bushashi ‘toilet...
View Article“Serikali inatekeleza Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini”...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini (Blueprint) ili kuvutia uwekezaji na kuwezesha...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2022
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 30, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, VIDEO: ALIKIBA AMJIBU...
View ArticleVideo: Alikiba amjibu Baraka the Prince, “Sawa kama ananichukia, mimi sijali,...
Ni Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii amehojiwa katika kipindi cha Amplifaya kinachorushwa Clouds FM. Miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni kuhusiana na kauli ya Baraka The...
View ArticlePicha: Azania Group wazindua chapa yake mpya ya Unga, DC Jokate kushuhudia...
Azania Group ni moja ya chapa kubwa na maarufu ya bidhaa za chakula ambapo leo imezindua unga mpya wenye thamani na ubora wa hali ya juu na wenye ushawishi kwa watumiaji wake kutumia unga mweupe, laini...
View ArticleUnisure Group, MUA na Smart zaendeleza ushirikiano Tanzania
Leo imeadhimisha hatua nyingine muhimu kwa sekta ya bima kwani The Unisure Group, Phoenix of Tanzania Assurance Co. Ltd (PTAL), (Part of MUA) na Smart Applications International zinaendeleza...
View ArticleGumzo vumbi la Congo na supu ya Pweza, Rais Samia ashindwa kujizuia “Tunataka...
Rais Samia leo ameshiriki katika hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi wa Shughuli za Lishe na tathmini ya sita (6) ya Mkataba wa Lishe uliofanyika Ukumbi wa Jiji la Dodoma – Mtumba, leo tarehe 30...
View ArticleRais Samia awaonya Ma-DC
Rais Samia ameshiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Usimamizi wa Shughuli za Lishe Dodoma leo ambapo pamoja a mambo mengine amewashangaa Wakuu wa Wilaya wanaoshindwa kufanya kazi kisa kusubiri mkeka...
View ArticleMagari ya Maafisa Elimu Rais Samia azindua
Rais Samia leo amekata utepe kuzindua magari 50 kati ya 200 ya Maafisa Elimu Sekondari nchini na pikipiki 50 kati ya 517 za Maafisa Lishe kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya Msingi na...
View Article“Chunguzeni vumbi la kongo” Rais Samia
“Lishe bora ni muhimu kwa Jamii, Wajawazito tunawapa lishe bora ili watoe Watoto wenye afya lakini Watoto wakizaliwa wanatakiwa pia kutunzwa na hata wakifika umri wa balehe wanapaswa kutunzwa ili wazae...
View ArticleKampuni ya URHOME yapewa siku “2,176 yako wapi hayana ubora”
SHIRIKA la Viwango Tanzania limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu wamewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125280...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 1, 2022
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 1, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, MWAKINYO BAADA YA KUSHUHUDIA...
View ArticleDereva wa Fuso aliyegonga Twiga, atalipa Milioni 34 za kitanzania
hifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Ignas Gara amesema Dereva wa lori lililomgonga Twiga na kumuua kwenye hifadhi ya Mikumi usiku wa kuamkia September 29 atalipa faini ya dola za kimarekani elfu...
View ArticleWaziri Pindi Chana awaongoza watanzania kumuenzi Mwil. Nyerere kupitia mbio...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi leo Oktoba 1, 2022 wilayani Butiama mkoani Mara amezindua rasmi mbio za hiyari za Mwl. Nyerere Marathon ikiwa ni sehemu ya kuenzi, kutangaza na...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 2, 2022
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 2, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, MDOGO WA ALIKIBA APANDA...
View ArticleHabari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 3, 2022
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 3, 2022,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania, MDOGO WA ALIKIBA APANDA...
View Article