Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa 255 kwenye XXL Jumatatu 12 August 2013

Marco Chali. . Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

List ya wasanii watakaomiliki stage ya Fiesta 2013 Kigoma.

Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chid Benz kuja na kitu kipya kesho

Chid Benz baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kesho August 13 2013 anategemea kutoa single mpya ambayo yeye mwenyewe hajaipa jina hadi hivi sasa….. karekodi hii single baada ya kutoka Kenya alikofanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Arsenal imekaribia kumchukua huyu staa wa Bayern Munich.

Arsenal inakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Brazil Luis Gustavo toka klabu ya Bayern Munich ambapo klabu hizi mbili zimefikia makubaliano kuhusu bei ya kiungo huyu ambae itakuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumatatu 12 August kwenye Sports Xtra

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke Jumatatu 12 August kwenye Sports Xtra Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya ni maneno kutoka kwa Feza Kessy kuja kwako.

  Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania hatimaye baada ya kutoka kwenye jumba la Big brother,ametumia muda wake kutoa shukrani zake kwa watu wote ambao walimpa support muda wote ambao alikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Leo ni siku kubwa ya msanii huyu mkali.

Ukicheki hiyo picha hapo juu sura ya mtu gani maarufu inakuja kwa haraka, kama bado haujamfahamu huyo ni Fareed Kubanda a.k.a Fid Q. Pia kama umesahau leo ni August 13 ambayo ni jina la ngoma yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo August 13 2013

. . . . . . . . . , . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabinti wawili wa miaka 19 na 20, wakamatwa airport na madawa ya kulevya...

Vitendo vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja ana umri wa miaka 19 na mwingine ana umri wa miaka 20 wote wawili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alichosema Eto’o kuhusu Chelsea, cheki hili box la mgawanyo wa mshahara wake...

Samuel Eto’o huenda akaungana na Mourinho kwa mara nyingine. Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Cameroon Samuel Eto’o huenda akaungana na kocha wake wa zamani Mreno Jose Mourinho baada ya kuweka wazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ya Dogo Janja, kijue kipaji chake kingine na usafiri wake.

Tuna mastaa wetu kibongobongo ambao watu wengi hawafahamu walizaliwa lini + info zao nyingine ambazo ni ngumu kuzisikia mara nyingi, kwenye post za kila baada ya siku kadhaa tutakushushia biography...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Godzilla ft Joti “Lakuchumpa”, Joti kafanya mambo yake ndani ya hii...

Kuwa kati ya watu wa kwanza kuona video ya Lakuchumpa ngoma ambayo ipo kwenye mixtape ya Godzilla. Ngoma hii ndiyo ili kick sana na hivi leo Zizi ametoa video yake. Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msikilize hapa Mbwiga Mbwiguke wa J4 13 August on Sports Extra

Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya leo August 14 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashabiki wa Davido, hii ndiyo ngoma mpya utakayoipenda kutoka kwake.

Nigerian prince, ana miaka 21 tu lakini kwenye muziki ni mkubwa sana. Hii hapa ni ngoma mpya kutoka kwake inaitwa Skelewu, pata nafasi ya kuisikiliza hapa. Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo 15 August 2013

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikiliza hapa magazeti ya leo Alhamisi 15 August kwenye Power Breakfast

Sikiliza hapa magazeti ya leo Alhamisi 15 August kwenye Power Breakfast Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo ya Digitali yanapomuumbua star wa Muziki.

Mwanamuziki wa miondoko ya Pop ambaye aliwahi kuwa mwimbaji kiongozi wa kundi La The Pussycat Dolls Nicole Scherzinger wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka . Mwanamuziki huyu ni mmoja kati ya A-List...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na picha ya rais Uhuru Kenyatta akiwa na familia yake, mke na watoto...

Kenya’s First lady Margaret Kenyatta ameiweka kwenye page yake ya facebook picha yake na mumewe ambae ni Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na watoto wao watatu  Jomo Kenyatta, Jaba Kenyatta na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matokeo ya mechi zote za kirafiki za kimataifa.

Japan 2 – 4 Uruguay. South Korea 0 – 0 Peru Tajikistan 3 – 0 India  Rwanda 0 – 1 Malawi Indonesia 2 – 0 Philippines Kazakhstan 1 – 0 Georgia Egypt 3 – 0 Uganda Belarus 1 – 1 Montenegro Azerbaijan 3 –...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live