Kilichomkuta baba baada ya mwanaye wa miaka minne kuingia kwenye mashine ya...
Baba mmoja nchini Marekani amefungwa jela kwa kosa la kuua baada ya mtoto wake wa miaka minne kuingia ndani ya mashine ya kufulia. Chanzo cha taarifa hii kimeeleza kuwa baba huyo mwenye miaka 28...
View Articlekama unaitaka list ya nyimbo 20 za CloudsFM Top20 December 14 2014
Kila Jumapili kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa saba mchana huwa countdown ya nyimbo 20 bora inafanyika kwenye CloudsFM Top 20 ambapo list ya December 14 2014 ni hii hapa chini. #CloudsFMTop20 #Dec14...
View ArticlePale ambapo Jaji anakamatwa na dawa za kulevya wakati akiendesha kesi mahakamani
Mwanasheria nchini Marekani amefunguliwa mashtaka baada ya kukutwa na kete za dawa za kulevya aina ya Heroine wakati akienda kesi. Dawa hizo zenye thamani ya dola za kimarekani 30,000 zilikutwa katika...
View ArticleStaa huyu wa Nollywood aeleza sababu za kwa nini hayupo tayari kuingia katika...
Mwigizaji wa Nollywood Genevieve Nnaji amefunguka kuhusu hatma ya maisha yake ya ndoa na kuelezea ni kwa nini hana haraka ya kuingia katika maisha hayo kwa sasa. Kwa mujibu mahojiano aliyofanyiwa na...
View ArticleFull Time ya Manchester United vs Liverpool Dec 14 2014.
Michuano ya ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jioni ya leo kwa mchezo wa mahasimu wa jadi Liverpool dhidi ya Manchester United ambapo game hii pia ilikua ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande...
View ArticleMiss World 2014 ndio ilikuwa leo, matokeo yote yapo hapa pamoja na picha
Leo December 14 kwenye Historia ya mwaka 2014, Mashindano makubwa ya Miss World 2014 yalikuwa yakifanyika London, Uingereza ambapo washiriki mbalimbali ikiwa ni pamoja na mwakilishi wa Tanzania,...
View ArticleKama ulimmis Bruno Mars… amerudi kwenye headlines na hii smash hit...
Video ya hii new single imetoka November 19 2014 lakini mpaka December 14 ilikua imetazamwa zaidi ya mara milioni 28 huku likes zikiwa zaidi ya laki mbili na elfu 90 na dislikes zikiwa zaidi ya elfu 8....
View ArticleNi Orijino Komedi kwenye ujio mpya.. Sikiliza show hapa, nimekuwekea na picha
Show ya kwanza ya kundi la Orijino Komedi imeruka leo, sehemu hii ya kwanza utaisikia sauti na picha za Joti na Mak Regan ambapo Joti anakamatwa na sare ya Askari Polisi, maelezo yake sasa… Hapa zipo...
View ArticleSababu 4 za kukufanya ule Chocolate kila siku.
Katika hali ya kawaida watu wengi huambiwa kuwa Chocolate si kitu kizuri na kuna sababu nyingi za kukufanya uamini kuwa chocolate si nzuri. Wengine husema inaharibu meno, wengine hudai kuwa...
View ArticleNi North West… mtoto wa Kim Kardashian alivyojichanganya na watoto wenzake jana
Awali mtoto wa mastaa Kim Kardashian na mumewe Kanye West ilikua ni vigumu kuonekana lakini sasa wazazi wa mtoto huyo wameonekana kumpa mtoto wao uhuru na safari hii mtoto huyo alikua akivinjari na...
View ArticleWakati uhusiano wa mastaa wengi ukiyumba, hawa wamedumu kwa zaidi ya miaka 15…
Ni December ambayo tunashuhudia rekodi mbalimbali zikiingia kwenye kumbukumbu za mwaka huu, tumesikia sana ya Chris Brown na Karrueche, Justin Bieber na Selena Gomez, Nick Minaj na wengineo ambao huu...
View ArticleHii ni kama trailer kabla ya movie… Gari zilizoandaliwa kutengenezea movie...
Dunia haishi vituko ambavyo hutokea kila siku na vinatokea kwa style za tofauti huku kila kinachotokea baada ya kingine kinakushangaza huku ukiamini kuwa hakuna kinachoweza kutokea zaidi ya hicho, ule...
View ArticleZimeanza tetesi na swali likafuatia, Marcio Maximo anaondoka Yanga ?
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo huenda akaondoka ndani ya klabu ya Yanga kufuatia kushindwa kuelewana na uongozi wa klabu hiyo . Habari zaidi zinasema...
View Article#AyoTV Walichofanya Madee na Chege Afrika Kusini, mkali wa Afrika Kusini...
Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii ni ya Madee na Chege nchini South Africa ambapo nilichowakuta nacho nimekuwekea chote hapa kwenye AyoTV chini mtu...
View ArticleUganda In Burundi Out ndani ya Simba Sc.
Ni kama vile klabu ya Simba ina mapenzi na taifa la Uganda baada ya klabu hiyo kukamilisha jumla ya wachezaji watano raia wa kigeni ambao wanatoka kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki . Simba...
View ArticleTimu ya Taifa ya Zambia yapatwa na mkasa wakiwa njiani kuelekea Lusaka
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia wamepata ajali jana Jumapili wakiwa wanaelekea Mjini Lusaka wakiwa na gari ndogo la klabu ya Zesco United ambapo basi hilo liligongana uso kwa uso na gari nyingine...
View ArticleKama unalifatilia soka la bongo basi hii mpya kuhusu usajili uliofanywa na...
Taarifa zilizoingia kwenye mtandao huu dakika chache zilizopita ni kwamba Dar es Salaam Young Africans imemsajili mshambuliaji wa Simba aliyeachwa Khamisi Tambwe ambapo anaingia kuchukua nafasi...
View ArticleBreaking news ya kocha Marcio Maximo kuondoka Yanga.
Habari rasmi toka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya klabu hiyo ambapo habari hizi zinakuja dakika chache baada ya millardayo.com kuripoti tetesi...
View ArticleSimba yaongeza nguvu kwa kusajili beki, unajua anatoka timu gani?
Katika usiku ambao umekuwa na movement nyingi za wachezaji na makocha , klabu ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni toka timu ya Mtibwa Sugar, Hassan Kessy. Beki huyo ambaye ametokea kuwa...
View ArticleMaamuzi ya Timu ya Yanga juu ya Mbrazil Emerson…
Taarifa za usajili na kuachwa wachezaji zinazidi kuingia na safari hii inasemekana kuwa kiungo Mbrazil Emerson amekuwa mhanga wa kwanza wa kuondoka kwa kocha Mbrazil Marcio Maximo baada ya mchezaji...
View Article