Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kuhusu matokeo Kidato cha nne 2013,kuyaona na taarifa zake zipo hapa.

$
0
0

Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) leo February 21 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne kwa mwaka 2013 na kuainisha kuwepo kwa wanafunzi wengi waliopata daraja Sifuri ambao ni asilimia 42.91 ya watahiniwa wote. Matokeo hayo pia yameonyesha wasichana wakiwa wamefaulu kwa asilimia 56.73 na wavulana wamefaulu kwa asilimia 59.58 huku nafasi za...

The post Kuhusu matokeo Kidato cha nne 2013,kuyaona na taarifa zake zipo hapa. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles