Hapa ni wakati Jaguar ndio anaingia kwenye show, haya yote unayoyaona ni magari anayoyamiliki. Kutoka 254 kwenye ardhi ya Kenyata hii story inamhusu star wa single mpya ya Kioo ambayo wiki kadhaa aliingia kwenye headlines na kuzungumziwa kuhusu video yake ambayo ameshoot na wafungwa wa ukweli na yeye akionekana kama mmoja wa wafungwa hao. Hii...
The post Picha 10 za show ya Jaguar zikiwemo za waliozimia baada ya kumuona. appeared first on TZA.