Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Kilichosemwa na Mh.Membe kuhusu Mgogoro wa Mpaka kati ya Tanzania na Malawi.

$
0
0

Tanzania bado ipo kwenye mgogoro na nchi ya Malawi juu ya mpaka halisi wa nchi,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Benard Membe amesema hatma juu ya mgogoro huo inategemewa kutolewa mwezi march. Hukumu hiyo itaamuliwa baada ya jopo la Usuluhishi litakapokaa na kusikiliza pande zote mbili ambalo litaongozwa na Rais wa...

The post Kilichosemwa na Mh.Membe kuhusu Mgogoro wa Mpaka kati ya Tanzania na Malawi. appeared first on TZA.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles