Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hiki kitendo cha Drake ndio kimeonekana kama dharau kwa Diddy

$
0
0

Drake na Diddy walikua kwenye stage ambapo Drake alikua anaperform ‘worst behavior’ kwenye night club ikiwa ni All-star weekend ambapo ghafla mic yake iliacha kufanya kazi wakati ya Diddy ilikua inafanya kazi hivyo Drake akampokonya Diddy ile yake kikiwa ni kitendo cha haraka bila hata kumpa ishara au kuomba. Mitandao mbalimbali imeripoti kitendo hicho kama...

The post Hiki kitendo cha Drake ndio kimeonekana kama dharau kwa Diddy appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles