May 31 2016 wizara ya mambo ya mje na ushirikiano wa Afrika Mashariki iliwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 na Wabunge wakaanza kutoa michango yao. Mbunge wa Mchinga Hamidu Bobani alisimama kuhoji ahadi ya Rais Magufuli aliyoitoa jimboni kwake kuhusu kumrudisha mjusi mkubwa wa kihistoria aliyechukuliwa Tanzania […]
The post VIDEO: Mbunge anaetaka kujua ahadi ya Rais Magufuli kuhusu yule mjusi aliyechukuliwa Tanzania appeared first on MillardAyo.Com.