Moja ya story ambayo imechukua sehemu kubwa ya habari kwenye vyombo vya Kimataifa ni hii ishu ya moto mkubwa ambao umeteketeza sehemu kubwa ya ghorofa usiku wa kuamkia leo February 21 Dubai. Kilichofanya habari hii kuchukua nafasi kubwa ni kwamba ghorofa hili liko kwenye rekodi ya maghorofa marefu zaidi DUNIANI. Ghorofa liko mtaa wa Marina,...
The post Ajali ya moto kwenye ghorofa la makazi ya watu Dubai (Picha & Video) appeared first on TZA_MillardAyo.