Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Jinsi mitandao ya Nigeria ilivyoshindwa kutafsiri jina la wimbo wa Iyanya ft Diamond ‘Nakupenda’ kwa kingereza

$
0
0

Tangu msanii wa Nigeria, Iyanya aiichia single mpya iitwayo Nakupenda aliyomshirikisha Diamond Platnumz, mitandao mbalimbali ya Nigeria imeonekana kushindwa kutafsiri jina la wimbo huo kwa lugha ya kingereza. Mitandao hiyo ilikuwa ikitafsiri jina la wimbo huo unaoitwa Nakupenda kwa lugha ya Kingereza kama Marry Me, Remember, ambapo tafsiri sahihi la neno Nakupenda ni I LOVE YOU....

The post Jinsi mitandao ya Nigeria ilivyoshindwa kutafsiri jina la wimbo wa Iyanya ft Diamond ‘Nakupenda’ kwa kingereza appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles