Akiwa kwenye kipindi cha XXL msanii TID aliulizwa kinachoendelea kati yake na msanii Q Chief kutokana na maneno aliyoyazungumza juu yake hivi karibuni, TID amesema kuwa hamsikii Q Chief hata akiongea hamsikii. TID amesema kuwa hataki kuzungumzia suala hilo kwa sababu Q Chief akisikia ndio atataka kuzungumza zaidi na yeye hataki kuyazungumzia kwa kuwa yameshapita. Ishu...
The post Majibu ya msanii TID baada ya kuulizwa kuhusu Q Chief kwenye show ya XXL. appeared first on TZA_MillardAyo.