Hawa jamaa wawili wanaoonekana kwenye picha walikua ni sehemu ya timu ya Nicki Minaj, walikwenda sehemu inaitwa Philadelphia Marekani ambapo ni siku mbili tu zimepita toka waingie kwenye mji huo kwa ajili kujiandaa na ziara ya kimuziki ya Nicki Minaj. Polisi wamesema aliyefariki ni De’Von Pickett, 29, au Day Day anaeonekana kushoto kwenye picha Eric Parker,...
The post Picha na taarifa ya mtu wa Nicki Minaj aliyeuwawa kwa visu, huyu mwingine kachomwa pia. appeared first on TZA_MillardAyo.